Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akipunga mkono kuaga baada ya kupanda treni stesheni ya Dar es alaam tayari kuelekea Kigoma ambako sherehe za miaka 36 ya chama hicho tawala zitafanyika kitaifa mwaka huu
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Kinana akipanda treni kuongoza msafara wa
Sektretarieti kwenda Kigoma kutoka Dar es salaam
jioni hii
Katibu wa NEC Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Dkt Asha-Rose Migiro
akipunga mkono baada ya kupanda treni kutoka Dar kwenda Kigoma leo
Ndugu Kinana, Dkt Migiro na Ndugu Nape Nnauye wakiwaaga wana-CCM na wananchi akwa jumla
katika stesheni ya Dar es salaam kabla ya kupanda treni mjini Dar es
salaam kwenda Kigoma leo
WanaCCM wakimuaga Ndugu Kinana na msafara wake kutoka stesheni ya reli Dar es salaam kwenda Kigoma. Picha zote na Bashir Nkoromo
Home
Unlabelled
KINANA NA SEKRETARIETI YOTE YA CCM WAENDA KIGOMA KWA TRENI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Vema nao watajionea adha za reli ya kati.
ReplyDeleteHawataiona adha. Mana wamepanda baada ya kazi ya Mwakyembe ya ukarabati kuanza na hiyo ni kampeni wanaifanya eti. Sijui kwa nini hawakupanda wakati Chenge ni waziri wa wizara hiyohiyo na akatuletea matapeli wa kihindi?
ReplyDeleteJe Watarudi kwa Treni???
ReplyDeleteCCM mnashindwa nini kuwapiga chini mafisadi ambao ndio wanawapa jeuri CHADEMA kutusema? Au kila kiongozi ni MCHAFU hivyo wa kumsema mwenzie hayupo?
ReplyDeleteMhe.Nape Nnyauye,
ReplyDeleteMhe.Abdulrahman Kinana,
Mhe.Dr.Asha-Rose Migiro,
CCM NYUNDO YA CHUMA!
CCM piga nyundo CHADEMA kwa pigo moja kubwa lenye mshindo na nguvu imeguke vipande vipande!
walilipa nauli lkn?
ReplyDeleteHAPANA SIO ADHA WAMEKWISHA FANYA UTAFITI WAMEONA IKO SAFI HIYO SI KAZI YA JEMBE MWAKYEMBE WAJANJA HAO NDO WANATAKA KUGEUZA NI KAZI YA CCM HIYO NA SIO JEMBE NGUVU ZAKE JEURI HAO UTAWAWEZA LAKINI HATA MKIENDA KWA BASIKELI 2015 HAMNA CHENU WAJANJA NYIE CCM.
ReplyDeleteViongozi wasafi wachache walishamwagwa chini,we angalia viongozi waliokuwepo kabla ya huu mtandao wa mafisadi kuchukua nchi. Unaona kashfa( epa,uswissi etc.) zimeanzia awamu ya tatu na nne. Huoni Mzee Mwinyi wala baba wa taifa wana akaunti uswissi wala tuhuma hizo.
ReplyDeleteHuu ndio uongozi tunao utaka wa kuweza kutufikia wananchi wa kawaida katika usafiri wa Treni!
ReplyDeleteHakuna kitu,mshindwa kudhibiti mafisadi.hamuwasikilizi wananchi mnafanya mambo kwa mabavu mpaka mnasababisha vurugu.mnalindana sana katika madaraka yenu.tunaona watu wachache wakichapa kazi wakati wengine wanafanyakazi kwa itikadi ya chama ili waonekane.
ReplyDelete