Home
Unlabelled
MAJIBU YA HOJA YA Gesi: Tunagombania Bakuli za Supu, Ng’ombe Hajachinjwa!
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
PRESS RELEASE/ TAARIFA KWA UMMA aliyotoa Mhe. Waziri Prof.Sospeter Muhongo imekamilika kwa majibu kamili zaidi ya malumbano ya Kisiasa katika Blogu hapa.
ReplyDeleteNaomba tuzingatie ile Press Release/Taarifa kwa Umma kwanza!
kila mtu ana haki ya kutoa maoni yake,na wewe toa maoni yako lakini si kwa kudandia na kuponda maoni ya wengine..jishugulishe mwanaume
ReplyDeleteHeshima yako uchambuzi wako wa mada nimeufurahia...Salma H
ReplyDeleteMh ....imeniingia kwa kiasi fulani.Tafakari yako ina ukweli ndani yake., mtwara si kuna wawakilishi, wapeni sharti la kuwakilisha malalamiko yenu kwa wahusika na waje na majibu yenye kutosheleza ndani ya kipindi fulani,ama sivyo msiwape dhamana watu wanaowauza...peoples power, Andaeni fact,muonyeshe outcomes zake kwa wakazi wa eneo husika na matakwa mnayotak kufanyiwa mi naona mkiendelea kuandamana suluhu haitapatikana wekeni maneno kwenye karatasi na yafikishwe mahali husika.Mungu ibariki Tanzania
ReplyDeleteWafrika kama sio wantanzania inabidi tuwe makini sana na hizi rasilimali zetu......hasa ukinzingatia viongozi wetu ambao hawana msimamo wale muelekeo........
ReplyDeleteTusipokua makini.......tutarudi kuwa watumwa tena.......Si tunacheza ngoma...sijui akudo....twanga...wenzetu wanabeba tu resources....namalizia kwa kizungu....NO MATTER HOW ILLITERATE WE ARE .....WE HAVE THE EYES AND EARS TO SEE AND KNOW WHAT IS GOING ON.......IT IS A WAKE UP CALL..........
asante mdau umeongea ya maana sana wakola muno kikwetu hicho ubarikiwe sana
ReplyDeleteAsante sana kwa kujibu hoja za mwanablog anayeheshimika kwa uandishi wa Makala Makini.Yaani umejibu vizuri sana hakuna mfano.Naogopa kukuita Wewe Kibaraka wa CCM,na hii gesi imeshachukua kura zenu kadhaa 2015 kwa taarifa yako,mtatokwa machozi yaliyochanganyika na damu.Hata hivyo nimekukubali umechambua vizuri sana,upo juu.
ReplyDeleteDavid V
sie wamama wa nyumbani tunasema maneno kuntu.
ReplyDeleteFor crying out loud please my fellow Tanzanians lets have the spirit of participatory and serious discussion in whatever decision we are about to make especially relating to our resources for the betterment of all generations.
Mungu ibariki Tanzania.
Habari ni nzuri ila imekosa mtiririko mzuri wa hoja msingi.Kama umeahidi kuandika tena na kutoa takwimu basi nakuomba ziwe zenye kuhusu hoja msingi tu na si kuchanganya mambo kama vifusi vya barabara za Dar, au nauli za Dar kwa kufanya hivyo unawaondoa wasomaji ktk hoja msingi na kuwaingia ktk vitu vingine ambavyo si vilivyodhamiriwa ktk makala yako.Vilevile epuka kutoa taarifa kwa kuonesha hisia ili ujumbe uweze kufika vizuri.Hayo ni ya msingi kuyashika ktk makala yako ijayo yenye takwimu.
ReplyDeleteUnachoongea ni kweli. Mie naamini kwamba wanablogs wengi si waandishi wahabari. Ndiyo Mwana blog anaweza kuwa mwaandishi wa habari. Mwaandishi wa habari ni yule aliyesomea fani hiyo na wanafuata sheria na hekima za kuleta habari. Mwanablog anaweza kuwa mtu yoyote, Mwandishi au mtu tu wa kawaida. Mtu yoyote anaweza kuandika au kutoa habari kwa vile ni rahisi kwa sasa kutoa habari kwenye mtandao. Na kama tunavyoona Bongo jamaa wengi wanapaste na kucopy habari nyingi, zingine za uongo ili mradi tu watoe habari fulani. Lakini tatizo si la Bongo tu, bali ulimwengu mzima, hata mataifa yaliyoendelea yanapata tabu kufanunua sheria ambazo zinatofautisha habari za blogs, mitandao, n.k kwani sheria zilizoundwa ni za zamani, hawakutegemea maendeleo ya mtandao. Tunaelewa jinsi mtandao ilivyo sasa mtu anaweza kuwa popote ulimwenguni na kuandika chochote bila kuwa na wasi wasi. Kwa hiyo sasa hizi tunaamini kwa majina, mfano blog ya Michuzi, tunaamini hawezi kuleta habari fulani fulani, lakini bila hivyo wanablog ni mtu yoyote yule, ndiyo maana ya kublog(yaani wanata tapa ovyo).
ReplyDeleteMJENGWA NI CCM KIBARAKA,ANAUFINYU WA KUELEWA,WATIMIZE AHADI HATA KIDOGO NA KUSINI PALE ILIPO HAITOKI NG`O MPAKA WATUTOE KAFARA NA HATUKO MBALI SANA TULIPOFIKIA PANATOSHA.GAS KWAZA
ReplyDeleteUna point lakini huna uvumilivu. Wakati mwingine ukiweka uvumilivu kwenye hoja yako itakaa kisomi na tutakuelewa zaidi.
ReplyDeleteAsante.
Eddy
Van.
Mimi nataka kuuliza swali
ReplyDelete"Gas itakayopatikana Mtwara itakua Processed mtwara au ndo itasafirishwa kutoka mitamboni mpaka Dar es salaam"?
Kama ni hivyo hii si sawa!
Upuuzi mtupu umeandika hapa na na wazungu wanasema "you contradict yourself" katika ulichoandika! Kwanza wewe ni nani manake jina hukuweka?
ReplyDeleteHalafu, alicho andika Mjengwa ni mawazo yake na ana haki na uhuru wa kuandika chochote anachotaka kwenye blog yake mwenyewe!! Wajibu wako ni kuandika yako mawazo na sio kuanza kumponda Mjengwa who is entitled to his own opinions just like you are!
Umesema mwenyewe kwamba Artumas walishaweka mitambo pale ya kufua umeme - kwa nyongeza tuu kuna 12MW kwa ajili ya mikoa hiyo miwili Mtwara na Lindi, kwa hiyo umeme upo tayari sasa nani awajengee viwanda kuongeza uzalishaji na ajira? Iwaje mtake kuzuia gesi kwenda Dasalama ambako tayari upo mtambo mkubwa wa kubadilisha gesi kuwa umeme na tayari pia kuna viwanda vinavyotumia gesi asilia kama 12 hivi?
Halafu, tumejiuliza hivi hii gesi itakayoenda Dasalama ni kiasi gani? Ni yote inayopatikana Mnazi Bay, Songosongo na Mkuranga? Jibu ni kwamba only less than 20% tuu ndio inakuja Dasalama - 80% inabaki hukohuko sauzi! Tafuteni wawekezaji, jengeni hivyo viwanda, pateni hizo ajira na acheni longolongo na siasa za rejareja kwa kuandamana na kulalama hovyohovyo wakati wengine Tanzania wanapiga hatua!
Some people bwana, hoooovyyooooo!!!!