![]() |
Mhe. Guebuza (kushoto) akifuatana na Waziri Membe mara baada ya kuwasili |
![]() |
Mhe. Rais Guebuza wakati alipokuwa akiteremka kwenye ndege mara baada ya kuwasili nchini. |
![]() |
Mhe. Rais Guebuza akiangalia ngoma za utamaduni (hazipo pichani) zilizokuwa zikitoa burudani kiwanjani hapo mara baada ya kuwasili. |
![]() |
Moja ya kikundi cha utamaduni kilichokuwa kikitoa burudani kwa Mhe. Rais Guebuza alipowasili nchini. |
Michuzi,TROIKA ni nini,naomba wanaofahamu wanieleweshe
ReplyDeleteTROIKA ni UTATU, katika jumuiya mbalimbali huwa kuna kamati ndogo zinazoundwa na nchi tatu yaani 1.Mwenyekiti wa Kamati wa zamani 2. Mwenyekiti wa Kamati wa sasa 3. Mwenyekiti wa Kamati ajaye. Kwa Kamati ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya SADC 1. Mwenyekiti wa zamani (Afrika ya Kusini 2.Mwenyekiti wa sas (Tanzania) 3 Mwenyekiti ajaye (Namibia). Kwa hii TROIKA inaundwa na Afrika ya Kusini, Tanzania na Namibia. Msumbiji imehudhuria akiwa ni Mwenyekiti wa SADC.
ReplyDeletejohnJohn
troika in 3 kwa kirusi.inaingiana na chochoche kinachoingiliana na 3,mfano kule mido east(middle east)wanatumia troika kumaanisha E.U,U.N,U.S.A
ReplyDelete