JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
WIZARA YA ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI
Mtihani wa Taifa wa
Elimu ya Sekondari Kidato cha Pili ulifanyika nchini kote kuanzia tarehe 05/11/2012
na kumalizika tarehe 16/11/2012.
Mwaka 2012 kulikuwa na jumla ya vituo 4,304
vilivyosajili watahiniwa, ikiwa ni ongezeko la vituo 117(2.79 %) ikilinganishwa
na ile ya mwaka 2011.
idadi ya wanaofeli ni kubwa sana, jaribuni kuangalia UTUNGAJI WA MITIHANI, mitihani isiwe migumu sana,na maswali yasitoke nje ya syllabus may b next year watafaulu wengi.
ReplyDeletethanx.
mbona matokeo hamuweki
ReplyDelete