Mdau Lusivya wa Twanga Pepeta amekula nondozzz yake ya pili ya Accounting and Finance kutoka kwenye Chuo Kikuu cha De Monfort University kilichopo UK. Hapa akiwa na marafiki zake.
La Familia Msiilwa Baraka, Omary Baraka na Baraka Baraka wakisheherekea na Lusivya
Wahitimu Mo,Lusivya na Rashid wakisherehekea nondozzzzz
hongera lusivya jitahidi urudi bongo utumie taaluma yako maisha huku yamebadilika sana vijana wanajituma sana from ur school mate mkwawa high school
ReplyDeletecongrats Mo its ur hommie from Walsall!!!
ReplyDeleteSeikh Raashid hongera kwa kuhitimu..nifikishie pongezi zangu kwa Bwana Harusi bwana Mohammed. Nimefurahi sana kwenu nyote kuhitimu salama mafunzo yenu.
ReplyDeleteShayumbwa.
congrats to the Baraka family for your achievements both socially and academically. Keep it up
ReplyDelete