Home
Unlabelled
MHE JOHN POMBE MAGUFULI AONGEA WAKATI WA UZINDUZI WA UJENZI WA DARAJA LA MBUTU, IGUNGA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Anaanza kuwasifia makandarasi halafu kideo kinakatwa, jamani hii ni haki kweli?
ReplyDeleteKwakweli Magufuli ni Mchapa kazi na katika kupata watu wazuri hatackwenye mashirika na bahati sehemu yeyote Duniani.Hawa jamaa wawili na Mwakyembe ni kati ya watu wanaoweza ivisha nchi hii okiondoa alinacha za siasa. CCm acheni siasa muwapitishe watu wakazi. watu walio na rekodi ya utendaji na interst ya nchi na sio story tuu maamuzi magumu maamuzi magumu. nchi yetu io nyuma inahitaji watu shupavu
ReplyDeleteHuyu jamaa anafaa kuwa Rais wa Tanzania baada ya kikwete, Hongera sana Mh. Dr. Magufuri.
ReplyDeleteKwakweli politics ni mbaya sana, kuna watu walimshauri Mhe JK vibaya kuwaacha wachaoa kazi si unakumbuka aliwekwa wizara ya samaki. Inabidi Tumpongeze Dkt JK kwa uwezo wake wa kuona. Angali Mhe Magufuli anavyoelezea vizuri athari ya kuwapatia project wageni na utoroshaji wa fedha zote nje badala ya kuzibakisha ndani. Mawaziri wengine fungukeni mulione hilo hakuna fahari yeyote kuwapa wageni kazi zaidi ya kuongeza umaskini nahata hao wageni kuishia kuwadharau. Hongereni Mhe Rais na Dkt Magufuli.
ReplyDelete