Mtandao wako uupendao wa www.globalpublishers.info hauko hewani kwa sasa kutokana na matatizo ya kiufundi yaliyojitokeza mapema leo ambayo yanashughulikiwa na wataalamu wetu.
Ni maratajio yetu kuwa tatizo lililopo litatatuliwa mapema na Mtandao kurudi katika hali yake ya kawaida. Hata hivyo kwa wale wanaosoma magazeti yetu On Line, wataendelea kusoma kama kawaida kwa kwenda moja kwa moja kwenye anauani hii:
Tunawaomba radhi kwa usumbufu wowote utaojitokeza katika kipindi hiki.
Asanteni kwa uvumilivu wenu
Web Master
Global Publishers Ltd
Duh! Poleni, maana naona hadi kichwa cha habari cha taarifa hii kina kwi kwi. "MTANADO"
ReplyDeleteAsante maaana tulikowa tunapata stress kwa kukosa magazeti-pendwa ya Globalpublisherstz.
ReplyDeleteMdau
Ughaibuni
Afadhali mtandano haupatikani, tulichoka na udaku
ReplyDelete