Gari likipita kwa shida pembezoni mwa Barabara ya Pugu Road kutokana na Mti huu kupiga mweleka Mapema leo asubuhi kutokana na Mvua kubwa kiasi iliyonyesha.Hakuna madhara yeyote yaliyotokea wakati wa Kuanguka kwa mti huu.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Basi hapo wiki haujaondolewa huo mti.Kitu ambacho ni cha robo saa tu kwa watu wa jiji kuja na ile misumeno ya moto na kuanza kuukata vipande vipande kisha kupakia ktk gari lao na kuacha nje nyeupe.
    Tusubiri tutaona tu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...