Ngoma ya 'Dunia Msongamano' ya OSS na Supreme Ndala Kasheba (RIP) hausahauliki kirahisi kwa midundo na mashairi na enzi za Chunusi eeeee....
Home
Unlabelled
ngoma azipendazo ankal - enzi hizo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Michuzi unasikia muziki uliokwenda shule huo? Huu ndo muziki wetu si huu bongo fleva uliojawa na usanii na si wanamuziki kweli.
ReplyDeleteFreddy Ndala Kasheba (R.I.P) ulikua kweli Maestro,muziki wako na kikundi nzima cha OSS bado tunaupenda,hatuwezi kamwe kuwasahau...
ReplyDelete
ReplyDeleteMuziki uliokwenda shule umejaa message ya nguvu,midundo na sauti zilizopangwa zikapangika hapo natembea kutoka shule nakatiza mtaa hadi mtaa kuwahi ugali na maharage home
Sikia muziki wa kweli huo,sio hii miziki ya kizazi kipya haina miguu wa kichwa
ReplyDelete