Ngoma ya 'Dunia Msongamano' ya OSS na Supreme Ndala Kasheba (RIP) hausahauliki kirahisi kwa midundo na mashairi na enzi za Chunusi eeeee....

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Michuzi unasikia muziki uliokwenda shule huo? Huu ndo muziki wetu si huu bongo fleva uliojawa na usanii na si wanamuziki kweli.

    ReplyDelete
  2. Freddy Ndala Kasheba (R.I.P) ulikua kweli Maestro,muziki wako na kikundi nzima cha OSS bado tunaupenda,hatuwezi kamwe kuwasahau...

    ReplyDelete

  3. Muziki uliokwenda shule umejaa message ya nguvu,midundo na sauti zilizopangwa zikapangika hapo natembea kutoka shule nakatiza mtaa hadi mtaa kuwahi ugali na maharage home

    ReplyDelete
  4. Sikia muziki wa kweli huo,sio hii miziki ya kizazi kipya haina miguu wa kichwa

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...