Mwanamama wa Sauzi Yvonne Chaka Chaka alitupa raha si haba na ngoma zake kibao ezi hizo, mmoja ukiwa huu wa 'Thank You Mr DJ'
Home
Unlabelled
ngoma azipendazo ankal - enzi hizo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Asante Ankal kijana wa zamani.Huyu mama alikuwa matata kweli kweli enzi hizo.Sasa hivi amekuwa mnene hawezi kunengua tena.Mwaka jana alikutunikiwa Shahada ya heshima (Honorary Doctorate)na chuo kikuu cha KwaZulu-Natal kwa mchango wake katika sekta za kijamii Afrika na duniani kwa ujumla ikiwemo Malaria,vifo vya watoto,Ukimwi n.k.Mfano mzuri kwa Wasanii wetu
ReplyDeleteDavid V
NANI KAKWAMBIA MNENE HAWEZI KUNENGUA?
ReplyDeleteYaani Ankal umenikumbusha mbali sana! Nikiwa mtoto kulikuwa na disco zilizofanyika majumbani na kipindi hicho hii nyimbo ilikuwa moto sana "Senk you Mista DJ" ndivyo tuliita.
ReplyDelete