Katibu wa NEC,Siasa na Mahusiano ya Kimataifa,Dkt. Asha-Rose Migiro akiwasalimia Wakazi wa wa mji wa Morogoro Stesheni usiku huu,walipokuwa wakielekea mkoani Kigoma kwa njia ya treni kwenye maadhimisho ya miaka 36 ya chama cha Mapinduzi CCM,Wajumbe wa Sekretarieti ya NEC wameondoka leo jijini Dar kwenda Mkoani Kigoma kuadhimisha miaka 36 ya Chama hicho.
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM,Ndg Abdulrahman Kinana akizungumza Wakazi wa wa mji wa Morogoro Stesheni usiku huu,walipokuwa wakielekea mkoani Kigoma kwa njia ya treni kwenye maadhimisho ya miaka 36 ya chama cha Mapinduzi CCM,Wajumbe wa Sekretarieti ya NEC wameondoka leo jijini Dar kwenda Mkoani Kigoma kuadhimisha miaka 36 ya Chama hicho.
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM,Ndg Abdulrahman Kinana akiwa sambamba na Katibu wa NEC itikaji na Uenezi Nape Nnauye wakiwasalimia Wakazi wa wa mji wa Morogoro Stesheni usiku huu,walipokuwa wakielekea mkoani Kigoma kwa njia ya treni kwenye maadhimisho ya miaka 36 ya chama cha Mapinduzi CCM,Wajumbe wa Sekretarieti ya NEC wameondoka leo jijini Dar kwenda Mkoani Kigoma kuadhimisha miaka 36 ya Chama hicho.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. Kuna mchangiaji huko nyuma alisema dokta Asha Migiro anaheshimika sana so aangalie mambo anayojihusisha nayo kwa sasa.
    Jamani Dr. hapo kwenye treni uliponing'inia ukiteleza si itakuwa hatari maana hata sababu yake ukiileza ulimwengu utashangaa!!

    Mimi nadhani dokta unaheshimika kuliko unavyojijua..kama ni suala la uraisi wa Tz kwa heshima uliyonayo watakufuata tu nyumbani kukuomba ugombee ili kuisaidia nchi na si hii ya ku-risk maisha yako ukiutafuta..Afterall urais wa tz ni nafasi ndogo sana kuliko uliyokuwa umeishika UN.

    Dokta plz jikite zaidi ktk shughuli za kijamii (charity works) au uhadhiri kwenye vyuo maana hizo ndizo zinakufaa kwa sasa kama unataka kuwasaidia wa-tz.

    Mdau
    Kenya

    ReplyDelete
  2. Mdau wa Kenya Mtoa maoni wa kwanza Fri Jan 25, 11:19:00 pm 2013

    ...Pamoja na kuheshimika kwa mtu anayetambulika kuwa ni Mkubwa, ukumbuke ya kuwa Kiongozi bora hata kama atajikita katika huo Uhadhiri wa Vyuo vya Juu na shughuli za Kijamii (Charity Works) atahitaji kuwa karibu na watu zaidi, na kujishusha pamoja na ukubwa aliokuwa nao unaouona wewe,,,kama anachokifanya hapo!

    Au ulitaka asifanye kwa CCM afanye kwa Chadema?

    ReplyDelete
  3. Wewe Mdau wa Kwanza unamtazamo wa Kikenya nadhani kwa kukaa kwako huko umeathirika hata Ki fikra umekuwa na fikra za Kikenya kenya!

    Sasa kuna ajabu gani?, yeye mwenyewe anajua ni nini anafanya!

    Labda hiyo ni kwa huko Kenya uliko, sisi Tanzania hatuhitaji Viongozi Miungu watu!

    Kwa taarifa yako tunahitaji viongozi wa namna hiyo wanaokuwa karibu zaidi na sisi na wanaojishusha na kuwa na sisi Manyasini!!!

    ReplyDelete
  4. Naungana mkono na mdau hapo juu. Sina la kuongezea usemakweli.

    mdau
    TZ

    ReplyDelete
  5. Haya michuzi umitia kapuni message yangu,very similar na mdau kenya.Huyu mama, could and indeed should do better than this!

    ReplyDelete
  6. Tena anaonekana dr, unaipongeza ccm kwa nguvu zote, ccm haina faida sana kwa watanzania waliowengi, bali kwa kundi, au makundi ya watanzania wachache sana, wengi wanatabika kwa mfumo mbovu, ambao waweza epukika, kwa hiyo dr, achana sana na propaganda za ccm,kwani waswahili husema kibaya chajitembeza, kizuri chajiuza

    ReplyDelete
  7. Wewe Mdau wa Kenya tofautisha kati ya KENYA NA TANZANIA!

    Huo ni mtazamo wako wa Kikenya, Tanzania inahitaji Viongozi wa namna ya Mhe.Dr.Asha-Rose Migiro, Mhe.Abdulrahman Kinana na Mhe.Nape Nnauye!

    Wote hao wanayo magari ya fahari ambayo hata Mawaziri wa huko Kenya uliko hawana, lakini wanahitaji kuwashukia wananchi wa kawaida kama hapo unavyoona wakisalimiana nao wakiwa njiani Morogoro wakielekea Kigoma.

    WEWE MTU WA KENYA ULITAKA WAPANDE NDEGE?, JE WANGEWEZA VIPI KUWAFIKIA WANANCHI WA KAWAIDA KAMA UNAVYOONA WAKISALIMIANA NAO NJIANI MOROGORO WAKATI NDEGE HURUKA ANGANI?

    UNAYO AKILI KWELI WEWE?

    AU KUKAA KWAKO KENYA KUMEKUFANYA KUMEKUWA BWEGE MTOZENI KABISA!

    ReplyDelete
  8. Wewe Mdau wa kwanza Mkenya ulitaka Mhe. Dr.Migiro apande ndege?

    Je, wangewezaje kusalimiana na wananchi waliopo chini aridhini wakati ndege inaruka angani?

    ReplyDelete
  9. CCM,CCM,CCM,CCM,CCM,CCM,CCM,CCM,CCM,CCM,CCM,CCM,CCM,CCM,CCM,CCM,CCM,CCM,CCM,CCM!

    CCM,CCM,CCM,CCM,CCM,CCM,CCM,CCM,CCM,CCM,CCM,CCM,CCM,CCM,CCM,CCM,CCM,CCM,CCM,CCM!

    CCM,CCM,CCM,CCM,CCM,CCM,CCM,CCM,CCM,CCM,CCM,CCM,CCM,CCM,CCM,CCM,CCM,CCM,CCM,CCM!

    ...mara Trilioni zote!

    ReplyDelete
  10. Mpaka hapo CHADEMA chaliiiii kuelekea Uchaguzi Mkuu 2015 !

    (Chadema imefungwa Mbao 2015 kwa Sifuri)

    Na mpira umekwishaaaaaa!

    BAO LA MATOKEO KTK DAKIKA YA 90:

    TIMU: IDADI YA MABAO:
    CCM - 2015
    CDM - 0

    ReplyDelete
  11. Kila idara tumekaa vizuri!

    Kama Mhe.Dr.Asha-Rose Migiro tukimpatia mwaka 2015 atatusaidia kumtoa kamasi mama king'anganizi Raisi wa Malawi Joyce Banda!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...