Home
Unlabelled
ngoma azipendazo Ankal - enzi hizo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Ankali,
ReplyDeleteMimi huko kwenye Kizazi Kipya wala sipati msisimko, mimi niko huku huku kwetu ambako kila ukitundika kitu hewani natamani kulia nikikumbuka enzi zile nilipokuwa kijana mdogo wa Sekeondari nikitesa kama mtoto wa Mfalme!
Zamani tulifaidi Kizazi Kipya mtakufa na Kijiba cha roho hamtuwezi ng'ooo!!!
ReplyDeleteHata mje na huyo Feruzi wenu,Daz Baba wala nani achilia mbali Mzee wa Manzese MB Dogg!!!
Ahhh,
ReplyDeleteMaisha yetu ama kweli dunia duara,
Zamani nilikuwa nalala fofofo naamka nakuta chai tayari!
Siku zingine hata ndoto sipati!
Lohhh siku hizi dunia imeniangukia!!!,
Nalala kisungura nazinduka mara kwa mara !, nikilala muda mwingi naota ndoto za ajabu ajabu na majinamizi!,
Majukumu kibao, lawama chungu mzima nalaumiwa kama nini, kila ninachokifanya naonekana bado haitoshi!,
Kipindi ngoma hizi zinarukwa hapakuwa na wakunilaumu,
Ahhh nyimbo hizi zinanirudisha kipindi nilipokuwa hayajanikuta!!!
Haya ndo mambo ankal. Mambo ya kizazi kipya yaweke pembeni.
ReplyDeleteTatizo langu na kizazimkipya ni kama vile hawajui kupiga vyombo. ( learn an instrument kids) hivi katika kizazi kipya nani ni mpiga gita mzuri? Tarumbeta je? hata ngoma nani anajua kupiga chombo chochote cha mziki? Huu mziki kizazi kipya ni kama unafanana. Huwa naongea na rafiki zangu kuwa technology nyingine inafukia ubunifu. Nadhani comyuter zinarudisha nyuma baadhi mambo ( uchoraji na muziki nadhani umeathiriwa sana na hili)
ReplyDelete