Katika ngoma za Mchiriku msanii Omary omary alikuwa hana mshindani, cheki ngoma hii ya 'Majaaliwa'
Home
Unlabelled
ngoma azipendazo ankal - kizazi kipya
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Inna Lilayhi wa Inna Ilayhi Rajiuuuun!
ReplyDeleteAllah SW amuweke pema Inshallah Marehemu Omari Omari!
Kweli Marehemu alilenga sana kuonyesha tofauti ya maisha kati ya waliofanikiwa na ambao bado hawajapata!
ReplyDeleteKama unavyoona picha ya mwenye maisha aliyeshinda game hadi sahani yake ikiwa imenona kwa minofu ya machapati!!!
Marehemu Omari Omari alitoa na akawachana sana wale ndugu zetu wanaojigamba baada ya kupata bahati ya kufanikiwa kimaisha, huku wakiwanyanyasa na kuwadharau waliochini.
ReplyDeleteHulka hii ya ulimbukeni wa mafanikio na kuwa sio wazoefu wa mafanikio na Vipato hadi lini?
Hivi kuna YEYOTE KATI YETU mwenye hisa na Mwenyezi Mungu kuhusu kupata?
JIBU HAKUNA, WOTE TUNABAHATISHA TU!
BASI NA TUSISUMBUANE NA KUTESANA,
WOTE TUNATARAJI REHMA ZAKE MWENYEZI MUNGU!
Ndani ya Wimbo huu Majaliwa wa Marehemu Omari Omari wenye urefu wa Dakika 10: na Sekunde 17,
ReplyDeleteIle Sehemu kutokea Dakika ya 4 na Sekunde 47 (4:47)HADI Dakika ya 5 na Sekunde ya 17 (5:17) INAJIDHIHIRISHA WAZI IMESHAMTOKEA YEYE MWENYEWE, PIA ITATUTOKEA WEWE NA MIMI YA KUWA HATA UWE NA FEDHA VIPI UKISHA KUFA.....''HAUTOZIKWA NA PESA AU MALI ULIYONUNUA''.....!!!
HIVYO OMARI OMARI AMESHATUACHIA UJUMBE MZURI SANA, TUTIZAME DUNIA INAVYOKWENDA NA TUTUMIE MANENO HAYO TUBADILIKE NA KUJIREKEBISHA KIMAISHA NA SISI TUJIANDAE, AMETANGULIA NA SISI TUTAFUATIA!
Miongoni mwa kazi nzuri sana za mchiriku, binafsi zajiuliza kwanini hivi vikundi vilivyopo vya mchiriku visifanye juhudi kubwa kuutangaza mziki huu zaidi ya kuwaona jaguar tu japo nao si sana.Iwapo watautangaza zaidi tunaweza tuka u-adapt kama miongoni mwa muziki wakilishi kwakua maadhi yake hayapatikani ktk nchi zinazotuzunguka kama mbavyo ilivyo ktk baadhi ya miziki ambayo tunaichukulia kama ni ya kwetu hali ya kua na maadhi ya jerani zetu.
ReplyDelete