Siku ya kwanza ya Mwaka Mpya, nimetua YouTube na kuweka tangazo la kitabu changu kimojawapo, Africans and Americans: Embracing Cultural Differences. Binti yangu Zawadi ndiye aliyerekodi ujumbe wangu, akaiweka video YouTube. Nimejfunza kutoka kwake.
MBELE
Hongera Prof. Mbele kwa kitabu .. you are the best. I will be looking for that book. I was in Minneapolis last summer I could have looked for you. Next time!
ReplyDeleteAsante Prof. kwa ujumbe wa kujielimisha mambo mapya kila siku ikiwemo wewe kuzuka youtube.
ReplyDeleteAsante anonymous wa mwanzo kabisa hapa juu, kwa ujumbe wako. Insha Allah, tutapata fursa ya kuonana, hasa kama utakuja tena pande hizi za Minnesota.
ReplyDeleteAnonymous wa pili, nakushukuru kwa ujumbe wako. Suala la elimu, kujielimisha na kuelimishana, ni nuhimu sana katika maisha. Tuko pamoja.
Namshukuru sana Ankal kwa kuiweka video hii hapa katika globu ya jamii.