Siku ya kwanza ya Mwaka Mpya, nimetua YouTube na kuweka tangazo la kitabu changu kimojawapo, Africans and Americans: Embracing Cultural Differences. Binti yangu Zawadi ndiye aliyerekodi ujumbe wangu, akaiweka video YouTube. Nimejfunza kutoka kwake. 
MBELE

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Hongera Prof. Mbele kwa kitabu .. you are the best. I will be looking for that book. I was in Minneapolis last summer I could have looked for you. Next time!

    ReplyDelete
  2. Asante Prof. kwa ujumbe wa kujielimisha mambo mapya kila siku ikiwemo wewe kuzuka youtube.

    ReplyDelete
  3. Asante anonymous wa mwanzo kabisa hapa juu, kwa ujumbe wako. Insha Allah, tutapata fursa ya kuonana, hasa kama utakuja tena pande hizi za Minnesota.

    Anonymous wa pili, nakushukuru kwa ujumbe wako. Suala la elimu, kujielimisha na kuelimishana, ni nuhimu sana katika maisha. Tuko pamoja.

    Namshukuru sana Ankal kwa kuiweka video hii hapa katika globu ya jamii.


    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...