Waziri wa Nchi katika ofisi ya Rais asiye na wizara maalum Profesa Mark James Mwandosya akikagua mradi wa MCC wa upanuzi wa
chanzo cha maji Ruvu chini. Picha ya chini anapata maelezo kutoka kwa Eng. Kasiga wa
DAWAS.Mradi huo wa Mellinium
Challenge Corporation kutoka Marekani utagharimu milioni 36 9 dola za
kimarekani.
Home
Unlabelled
Profesa Mwandosya akagua upanuzi wa chanzo cha maji ruvu chini leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...