Wahariri
- Mjumbe wa Sekretarieti ya Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Bi. Hanifa
Masaninga akitoa ufafanuzi kuhusu uandaaji wa maoni ya wananchi na kuwa
Kitengo cha Taarifa Rasmi (Hansard) kwa ujumbe wa Taasisi za Habari
nchini waliotembelea ofisi za Tume leo (januari 10, 2013). Taasisi
zilizotembelea Tume ni Baraza la Habari Tanzania (MCT), Chama cha
Wamiliki wa Vyombo vya Habari (MOAT), Chama cha Waandishi wa Habari
Wanawake (TAMWA) na Jukwaa la Wahariri (TEF).
Wahariri
- Mjumbe wa Sekretarieti ya Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Bw. Mohammed
Khamis Hamad akitoa ufafanuzi kuhusu mfumo wa uchambuzi wa maoni ya
wananchi kwa Ujumbe wa Taasisi za Habari nchini uliotembelea ofisi za
Tume leo (Januari 14, 2013). Taasisi zilizotembelea Tume ni Baraza la
Habari Tanzania (MCT), Chama cha Wamiliki wa Vyombo vya Habari (MOAT),
Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake (TAMWA) na Jukwaa la Wahariri
(TEF).
Wahariri - Katibu wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Bw. Assaa Rashid (wa pili kulia), akitoa ufafanuzi uhifadhi wa maoni ya maandishi yanawasilishwa na wananchi katika Tume kwa wadau wa Taasisi za Habari nchini waliotembelea ofisi za Tume leo (Januari 10, 2013). Taasisi zilizotembelea Tume ni Baraza la Habari Tanzania (MCT), Chama cha Wamiliki wa Vyombo vya Habari (MOAT), Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake (TAMWA) na Jukwaa la Wahariri (TEF). Picha na Tume ya Katiba.

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...