Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Rais wa Seneti ya Ufaransa Mhe. Jean Pierre Bel, alipotembelea makao makuu yake jijini Paris.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitoa zawadi kwa Rais wa Seneti ya Ufaransa Mhe. Jean Pierre Bel, alipotembelea makao makuu yake jijini Paris.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na ujumbe wake akiongea na Rais Mstaafu wa Ufaransa Mhe Valery Giscard d'Estaing na ujumbe wake katika hafla ya chakula cha usiku alichoandaa Rais huyo Mstaafu ambaye pia ni Mwenyekiti wa Tanzania Wildlife Foundation jijini Paris.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na Kiongozi wa jumuiya ya Ismailia duniani,HH The Aga Khan alipomtembelea kwenye Hotel ya le Meurice jijini Paris. PICHA NA IKULU

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Michu mbona box kubwa angalia mh wetu asiwe amewapelekea twiga kimya kimya bila kutuhusisha

    ReplyDelete
  2. Hapa Rais wangu nakupongeza umenikosha sana...cjui unacctza uislam wako ama ni nini ila whatever the reason nakupongeza...wengine wanaonekana na mvinyo wewe hutaki makuu juice...pongezi sana mkuu kwa hilo...

    ReplyDelete
  3. Naungana mkono na Anonymous wa pili kuhusu kikombe alichoishikilia Mh. Rais. Nadhani ni mango juice ;)

    Kwa wale ambao wanasema eti hizi safari za Mh. Rais hazina faida kwetu, ni extra burden kwa walipa kodi, eti Mh. Rais anafikiri bado yuko FM (waziri wa mambo ya nje), n.k; nawataka wakumbuke US$100 capital investment ATCL inatarajiwa kupokea kutoka Usultani wa Omani.

    Nakutaka kila la heri safari yako ya kuendelea kijiji cha Davos, nchini Uswisi. Nimatumaini yangu utaendelea kututafulia wawekezaji halisi ambao tutapata hali ya win-win.

    Kama ukionana na executives kutoka BA (British Airways); ningependa sana uwape ombi rasmi kutokusitisha flights nambari BA 46 na 47. Nimefikiria option 3:

    i) waendelee kutoa huduma hata kama ni wiki mara moja tu. Wapunguze staff na wahamie ofisi kutoka Serena na kuelea labda building ya NHC. Hii itawezesha kupunguza overheads (gharama za uendeshaji).

    ii) wafikirie kuanzisha route ya LHR-KIA-DAR-LHR. Watalii watafurahi kuelekea KIA moja kwa moja kama vile ya Ushirika ya ndege wa Kifalme wa Kiholanzi ya KLM.

    iii) Tiketi ya internal flight kutoka DAR-NBI ijumlishwe kwenye main booking kupitia tovuti yao baada ya March 29.

    Kuhusu AU; naamini nafasi ya Mwenyekiti wa Umoja wa Afrika this time atatokea Afrika Mashariki kupitia mzunguko wa kikanda (regional rotation). Kama ni hivyo, ningependa sana kama uigombelee nafasi hio kwasababu una sifa za kufanya peace treaties baina ya wapinzani eg. Kenya mwaka '07 na Madagascar '13. In my humble opinion you are the most eligible. Analysis yangu ni kama ifutavyo:

    A) Nchi ambazo hawastahiki:
    Somalia, South Sudan, Burundi kwasababu bado wanaendelea kuimarisha serikali zao na kujenga diplomatic clout.

    B) Kenya: Mh. Kibaki anamalizia term yake.. nadhani Kenya haitagombelea kwasababu uchaguzi uko kwenye kona (March)

    C) Uganda na Rwanda: nchi hizi inadaiwa kuwa demokrasia lakini katika mduara wa kidiplomasia na mtizamo wa nchi za magharibi sio demokrasia halisi..? (kwasababu ya marais wao kuwa madarakani miaka mingi??)

    D)Sudan na Ethiopia ndizo nchi ambao nahisi wana chance ya kupata bacause:
    i) Sudan ilitaka kuigombelea mwaka 2008 lakini ilikuwa katika mgogoro na Sudan Kusini na kwa hiyo waliamua kumpa JK nafasi hiyo.

    ii) Ethiopia: sijui kama waziri mkuu Hailemariam ataigombea.. labda bado anaimarisha serikali yake baada ya kufariki Mh. Menes Zenawi.

    YOUR EXCELLENCY, please do consider this post if you are given the opportunity. Tukumbushane kwamba Tanzania imepata nafasi hio mara mbili tu: Mwalimu mwaka 1984 na JK mwaka 2008. Nadhani kama TZ ikigombea, nchi ya SADC lazima watatu support.

    Kutumia skills zako za negotiations nadhani utaweza kusuluhisha migogoro bara la Afrika na kwa hiyo unwaweza kupata zawadi ya amani ya Nobel mwaka 2014 Novemba.

    Ndugu Ali..
    Portsmouth,
    UK.

    ReplyDelete
  4. Sasa wewe ulitaka je? wazungu wakitaka kitu kwako bwana wanakuona kama Mfalme kumbe akili ku kichwa! Mwe!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...