Naibu Waziri wa Ardhi,Makazi,Maji na Nishati Haji Mwadini Makame akimkabidhi zawadi mshindi wa kwanza katika mshindano hayo Nahodha Fundi Abuubakar kutoka Bumbwini.Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar. PICHA NA MAKAME MSHENGA-MAELEZO ZANZIBAR.
Ngarawa mbili za mbele zikichuana vikali katika mashindano yalio fanyika huko forodha mchanga ikiwa ni shamra shamra za miaka 49 ya Mapinduzi ya Zanzibar.Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar.
Ngarawa zikianza mashindano mara tu ilipopulizwa firimbi ya kuanza mashindano hayo huko forodha mchanga ikiwa ni shamra shamra za miaka 49 ya Mapinduzi ya Zanzibar.Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar.
Naibu Waziri wa Ardhi,Makazi,Maji na Nishati Haji Mwadini Makame akipuliza filimbi kuonyesha ishara ya kuanza kwa mashindano hayo.Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar.
Wananchi wakishangiria jinsi mpambano ulivyokuwa mkali huko forodha mchanga ikiwa ni shamra shamra za miaka 49 ya Mapinduzi ya Zanzibar.Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar.
Ngarawa zikianza mashindano mara tu ilipopulizwa firimbi ya kuanza mashindano hayo huko forodha mchanga ikiwa ni shamra shamra za miaka 49 ya Mapinduzi ya Zanzibar.Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar.
mwandishi unapotosha kiswahili, bora uache kazi. Sio 'ngarawa" ni "ngalawa" na sio "firimbi" ni "filimbi"..........umetoka musoma nini?
ReplyDeleteZFA na TFF Mashirikisho ya a Soka Bara na Visiwani, nadhani tusizidi kupoteza muda kwa Mpira wa miguu ni vile hatuna chetu.
ReplyDeleteKwa nini tusibadili mwelekeo wetu na kuhamia kwenye hizi Resi na mbio za ngalawa?
HOPE is coming back in Zanzibar,GodBless!
ReplyDeletemdau wa kwanza toka hapa kiswahili gani unacholeta hapa? Ngarawa na firimbi ndio lugha sahihi kiswahili chako cha kibara kaa nacho huko huko
ReplyDeleteNi Ngarawa, na ni firimbi ndio asili yake maneno.
ReplyDeleteMdau wa Kwanza unatokea Burundi nini? aliyeandika Ngarawa na Firimbi hajakosea hata kidogo kwani ndio kiswahili fasaha,na wala sio Ngalawa na Filimbi rudi shule kajifunze lugha ya Kiswahili.
ReplyDeletemdau wa Pwani.