Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Uendelezaji wa Bonde la Mto Rufiji (RUBADA) Bw. Aloyce Masanja akisisitiza jambo kwa Watendaji wa ngazi mbalimbali wa Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa alipokuwa akitoa mada kwenye semina ya kuwajengea uwezo watendaji wa Halmashauri hiyo juu ya mpango wa ukuaji wa kilimo katika ukanda wa kusini mwa Tanzania (SAGCOT) na mkakati wa Kilimo Kwanza.
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Uendelezaji wa Bonde la Mto Rufiji (RUBADA) Bw. Aloyce Masanja (kushoto) akisisitiza jambo kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa Bw. Fidelis Lumato, muda muda mfupi mara baada ya kumalizika kwa semina ya kuwajengea uwezo watendaji wa ngazi mbalimbali katika halmashauri hiyo juu ya mpango wa ukuaji wa kilimo katika ukanda wa kusini mwa Tanzania (SAGCOT) na mkakati wa Kilimo Kwanza.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...