Familia ya Mzee Wallace Hurbert Shundi wa Upanga, Dar es Salaam ina washukuru Ndugu, Jamaa na Marafiki na wote walioshiriki kwa hali na mali katika kuumuguza, katika mazishi na waliotufariji katika kipindi kigumu cha msiba uliotokea tarehe 19 Disemba 2012. Mungu awabariki.

Shukurani za pekee kwa Madaktari na Wauguzi wa Hospitali za Tumaini, Muhimbili na Apollo, India. Dr. Robert Mhina, Dr. Kimu wa Muhimbili, Prof. Yongolo wa Tumaini Hospital na Dr. Ngota wa Wizara ya Afya. Padre Kanisa la Mt. Albano, Wanajumuia Mt. Adrea, Majirani Plot. 250 Maweni Str., Upanga. Jaji Mkuu Mstaafu Augustino Ramadhani, Bw & Bibi Bakari Mahiza, Col. Sylvester Msindo, Bw. Sandile Khumalo. Menejimenti na Wafanyakazi wa TAKUKURU na EWURA.

Familia inawakaribisha katika misa ya Shukurani siku ya jumamosi tarehe 2 Februari 2013 Saa 3:00 asubuhi katika Kanisa ja Mt. Albano, Upanga.

BWANA AMETOA NA BWANA AMETWAA. JINA LA BWANA LIHIMIDIWE.

AMEN.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Poleni sana na msiba Mungu awatie nguve bwana ametoa bwana ametwaa jina lake libarikiwe

    ReplyDelete
  2. Mungu ailaze roho ya maremu pema na awape wafiwa moyo subra.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...