Mshambuliaji wa Timu ya Simba,Masoud Kaheza akijaribu kutaka kuwatoka Mabeki wa timu ta Black Leopard ya nchini Afrika ya Kusini,wakati wa mchezo wa kirafiki uliochezwa jioni ya kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.Simba imepigwa bao 1-0.
Winga wa kushoto wa timu ya Simba,Ramadhan Singani akiwania mpita na beki wa timu ya Black Leopard ya nchini Afrika ya Kusini,Thulan Ntshingila wakati wa mchezo wa kirafiki uliochezwa jioni ya kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.Simba imepigwa bao 1-0.
Mshambuliaji wa Timu ya Black Leopard ya nchini Afrika ya Kusini,Bafana Sibeko akiingia langoni mwa timu ya Simba huku Beki wake akiangalia namna ya kumzuia.
Beki wa Simba akiondoa hatari iliyokuwa ikielekea langoni kwake.
Ni Simba ipi hii, hao wachezaji mbona wote hawajulikani?
ReplyDeleteSimba SC ama kweli ninyi ni Jamvi la wageni!
ReplyDeleteWenzenu Yanga SC wamewakanyaga hao Black Leopards kote kote Mechi ya kwanza Dar na Mechi ya pili Mwanza!