Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(katikati) akimkabidhi Fatma Abdalla
Issa,wa Kikundi cha "Tanaweza Coop " Ole Kaskazini Pemba,Mfano wa
Cheki ya Shilingi za Kitanzania Millioni Mia tatu na Laki Saba,kwa
niaba ya Vikundi vya Ushirika na Wajasiriamali wa Mikoa Mitano ya
Zanzibar,wakati wa sherehe za Kilele cha Wiki ya Uwezeshaji wananchi
Kiuchumi katika Ukumbi wa Salama Bwawani Mjini Zanzibar,(kushoto)
Waziri wa Kazi,Uweshaji, Wananchi Kiuchumi na Ushirika Haroun Ali
Suleiman.
Baadhi ya Viongozi wa Taasisi mbali mbali
Serikali,na Wajasiriamali waliohudhuria katika sherehe za Kilele cha
Wiki ya Uwezeshaji wananchi Kiuchumi katika Ukumbi wa Salama Bwawani
Mjini Zanzibar,wakiksikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza
la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, alipokuwa akizungumza nao
leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein,(katikati) akizungumza na wananchi na
Wajasiriamali ,wakati wa sherehe za Kilele cha Wiki ya Uwezeshaji
wananchi Kiuchumi katika Ukumbi wa Salama Bwawani Mjini
Zanzibar,(kutoka kushoto )Makamo wa Pili wa Rais Balozi Seif Ali Iddi,
Waziri wa Kazi,Uweshaji, Wananchi Kiuchumi na Ushirika Haroun Ali
Suleiman,na (kulia) Katibu Mtendaji wa Kamisheni ya Wakfu na Mali ya
Amana,Abdalla Twalib.
Baadhi ya Viongozi wa Taasisi mbali mbali Serikali,na
Wajasiriamali waliohudhuria katika sherehe za Kilele cha Wiki ya
Uwezeshaji wananchi Kiuchumi katika Ukumbi wa Salama Bwawani Mjini
Zanzibar,wakiksikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, alipokuwa akizungumza nao leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(katikati) akimkabidhi Cheti cha
Shukurani Bibi Nuru Hafidhi Mzee,Mstaafu katibu Muhtasi Wizara ya
Kazi,Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi na Ushirika,wakati wa sherehe za
Kilele cha Wiki ya Uwezeshaji wananchi Kiuchumi katika Ukumbi wa
Salama Bwawani Mjini Zanzibar,(kushoto) Waziri wa Kazi,Uweshaji,
Wananchi Kiuchumi na Ushirika Haroun Ali Suleiman.[Picha na Ramadhan
Othman,IKULU.]
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...