Katibu wa Taasisi ya The john mashaka Bi, Rabia Bakari akiungumza kwa ajili ya kufungua mkutano wa waandishi wa habari na wawakilishi wa vyama vya watu wenye ulemavu ili kujadili kwa pamoja kwa ajili ya ustawi wa wenye ulemavu na wengine wasiojiweza.

Baadhi ya watu wanaotafsili lugha za alama wakiendelea na kazi hiyo wakati wa mkutano

Baadhi ya wawakilishi wakisikiliza kwa makini

Mwenyekiti wa TUSPO Bw. E LLEZER Mdakima kushoto akizungumza wakati wa mkutano huo wengine kulia ni Mjumbe wa Taasisi ya The John Mashaka Bi, Latifa Masasi na Katibu wa taasisi hiyo Bi, Rabia Bakari. picha na www.burudan.blogspot.com

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Enhee hii ''The John Mashaka'' ndiye huyu huyu Mashaka wa hoja nzito humu jamvini?

    ReplyDelete
  2. Kazi ipo mwaka huu.

    ReplyDelete
  3. Hivi huyu katibu ndo mke wa yule mpiga picha maarufu jijini Mbeya eenh? Kama sijakosea anaitwa Rashid Mkwinda mnaomjua hebu mnisaidie nahisi namfahamu huyu dada anayemfahamu anisaidie tafadhali

    ReplyDelete
  4. Ili kuuweka sawa Uchumi hasa ukiwa unadorora kwa kiwangi cha chini cha matumizi ya watu kwenye jamii Mamlaka inachochea matumizi ya Umma au Jamii, pana utaratibu wa 'Creation of employement' au 'Increasing Public Expenditure' !

    Sasa, ujio wa Asasi kama hizi (The John Mashaka Foundation) inawezekana ndio mwenendo huo unatekelezwa!

    Yetu macho!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...