Leo katika pita pita za kamera man wa Globu ya Jamii maeneo mbali mbali ya jijini Dar,Leo alipita mitaa ya Tabata na kukutana na lundo la taka kando kando ya Barabara ya Mandela Road.hali hii imekaaje wadau??

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. mzee michuzi vp tena ndo lugha mix nini barabara ya mandela road????

    ReplyDelete
  2. Tuacheni jamani sie tumezoea hali hiyo.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...