Ankali pole na ziara, naomba uwatangazie wadau link hiyo hapo chini ambayo inaendeleza namna ya kuomba au kutafuta ajira katika Umoja wa Mataifa. miongoni mwa link hizo ipo ya kiswahili ambayo ni lugha yetu na itakuwa rahisi kwa wadau wengi kujifunza na kujielimisha namna ya kuomba kazi katika chombo hicho. Nawasilisha
In collaboration with the Department of Public Information, OHRM has prepared and broadcast radio spots in all official languages as well as Portuguese and Swahili on UN CAREERS.
Please find the links below and feel free to circulate among your constituents.
Outreach Unit
Strategic Planning and Staffing Division
Office of Human Resources Management
United Nations
New York
Email: talentoutreach@un.org
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...