Mbunge wa Jimbo la Kalambo,Mh. Josephat Kandege akiwa katika kilele cha Gilmans alipopanda Mlima Kilimanjaro mwishoni mwa mwaka jana,Mh Kandege ndiye mbunge pekee aliyefanikiwa kufika katika kilele hicho kati ya wabunge saba waliopanda mlima Kilimanjaro.
Mbunge wa Jimbo la Kalambo,Mh. Josephat Kandege akiwa na wapandaji wengine ambao kwa pamoja walifanikiwa kufika katika kituo hicho cha Gilmans mmoja wapo akiwa ni Dixon Busagaga wa globu ya jamii Moshi.
Mbunge wa Jimbo la Kalambo,Mh. Josephat Kandege akiwa katika kilele cha Gilmans alipopanda Mlima Kilimanjaro mwishoni mwa mwaka jana,Mh Kandege ndiye mbunge pekee aliyefanikiwa kufika katika kilele hicho kati ya wabunge saba waliopanda mlima Kilimanjaro.
Safari ya Mlimani ikiendelea.
Ukiwa juu ya mlima Kilimanjaro hivi ndivyo maeneo mbalimbali ya mlima yanavyoonekana. Na Dixon Busagaga wa globu ya jamii Moshi.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Zamani karibia sehemu zote hizi zilifunikwa kwa barafu, leo hii ni mimawe tu ndio yenye kuonekana.

    ReplyDelete
  2. Yaani mandhari utafikiri uko mwezini vile. Hakika yanapendeza. Inshaallah siku moja nami nitapanda Afya ikiruhusu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...