Kaimu Kamishina Msaidizi wa Uendelezaji Uchimbaji Mdogo Bw.Julius Sarota akitoa elimu kwa wachimbaji wadogo kuhusu elimu ya biashara na ujasiriamali iliyofanyika wilayani Ruangwa,Mkoani Lindi leo.
Mhandisi Migodi kutoka Wizara ya Nishati na Madini, Jones Mushi akitoa elimu kwa wachimbaji wadogo kuhusu utunzaji kumbukumbu, uwasilishaji wa taarifa na ulipaji kodi na tozo mbalimbali kwa wachimbaji wadogo.
Mmoja wa wachimbaji wadogo waliohudhuria mafunzo akionesha cheti cha ushiriki wa mafunzo kuhusu sekta ya Madini.
Baadhi ya washiriki wa mafunzo kwa wachimbaji wadogo wilayani Ruangwa wakisikiliza moja ya mada zilizokuwa zikitolewa.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...