Baadhi ya wanafunzi wa shahada ya Kwanza ya Sosholojia ya Chuo Kikuu Cha Dodoma (UDOM) wakisikiliza kwa makini wakati wakipewa elimu ya mazingira wakati walipoenda kupanda miti katika Shule zilizopo Mjini Dodoma
 Mmoja wa Wanafunzi wa shahada ya Kwanza ya Sosholojia ya Chuo Kikuu Cha Dodoma (UDOM) Dorry Michael akipanda mti katika Shule ya Sekondari ya Itenga iliyopo Nkuhungu Mjini Dodoma
 Wanafunzi wa Shahada ya Kwanza ya Sosholojia ya Chuo Kikuu Cha Dodoma (UDOM) wakiwa wanapanda Miti katika Shule ya Sekondari ya Itenga iliyopo Nkuhungu,Wilaya ya Dodoma Mjini Mkoani Dodoma
 Wanafunzi wa Shahada ya Kwanza ya Sosholojia ya Chuo Kikuu Cha Dodoma (UDOM) wakipanda miti katika Shule ya Sekondari ya Itenga iliyopo Nkuhungu wilaya ya Dodoma Mjini Mkoani Dodoma
Baadhi ya wanafunzi wa Shahada ya Kwanza ya Sosholojia ya Chuo Kikuu Cha Dodoma (UDOM) wakiwa katika Picha ya Pamoja na mratibu wa elimu wilaya ya Dodoma Mjini mara baada ya Kumaliza zoezi la upandaji wa Miti katika Shule ya Sekondari Itega iliyopo Nkuhungu, Wilaya ya Dodoma Mjini, Mkoani Dodoma.Picha Na Dorry Michael Wa Lukaza Blog UDOM

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Very very Good,Dodoma inaweza kubadilika kuwa kijani wasomi wakifanya kazi zao. Enzi tupo jeshi Makutopora, kazi ya kupanda miti maeneo ya Veyula na jirani tulikuwa tunapanda miti na palibadilika sijui sasa hali ikoje.

    NAWAPONGEZA SANA

    ReplyDelete
  2. safi sana wadogo zangu, change ni mimi, ni wewe...

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...