![]() |
Mhe. Balozi Veloso aliye kushoto akisalimiana na Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bw. John M. Haule huku Mhe. Membe akishuhudia. |
![]() | |
Mhe. Membe akifafanua jambo kwa Mhe. Balozi Veloso wakati wa mazungumzo yao mara baada ya Balozi huyo kuwasilisha Nakala ya Hati zake za Utambulisho |
![]() |
Mhe. Membe akimsikiliza Balozi Veloso huku Afisa kutoka Ubalozi wa Msumbiji hapa nchini, Bi. Helena Sitore akinukuu mazungumzo yao. |
Duuu! Mwenyezi mungu kaumba watu kwa kufanana kweli ! Huyu balozi wa Msumbiji kafanana sana na marehemu Dr.Remmy,yaani utafikili walizaliwa pacha,
ReplyDeleteMungu mkubwa
hiii!! kweli watu ufanana wawili wawili huyu balozi wa msumbiji kafanana Dr.Remmy(RIP) utafikiria kaka yake
ReplyDelete