Waziri Mkuu,Mh. Mizengo Pinda akiwahutubia watu wenye walemavu walioalikwa katika hafla ya cha mchana kilicho andaliwa na Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP,Bw. Reginald Mengi ikiwa ni katika kukaribisha mwaka mpya wa 2013 wa Walemavu hao.Waziri Mkuu alikuwa mgeni rasimi katika hafla hiyo.
Waziri Mkuu,Mh. Mizengo Pinda akiasalimiana na Bi. Regina Mengi mtoto wa Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP,Bw. Reginald Mengi wakati wa hafla ya watu wenye Ulemavu iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee,jijini Dar es Salaam.
Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akisalimiana na Redd's Miss Tanzania,Brigit Alfred ambaye alikuwa ni miongoni mwa wageni waalikwa katika kushiriki chakula hicho cha mchana na watu walemavu kilichoandaliwa na Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP,Bw. Reginald Mengi.
Waziri Mkuu,Mh. Mizengo Pinda akimsalimia mtoto Abrahamu Omari (miezi 3) aliyebebwa na mama yake ambaye ni mlemavu wa ngozi anaitwae Amina Fadhili wakati wa hafla ya Chakula cha Mchana iliyoandaliwa na Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP,Bw. Reginald Mengi (nyuma ya Waziri Mkuu) ikiwa ni katika kuukaribisha mwaka mpya 2013.Picha na Chris Mfinanga.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Che GuevaraJanuary 21, 2013

    Safi sana Mengi, kusema kweli wewe ni MTU wa watu na Mungu akulinde na akusaidie 'wale watu' wasikufanye 'kile kitu' walichomfanyia JEMBE MWAKYEMBE.

    ReplyDelete
  2. Asante Waziri Mkuu Pinda. Tu sherekea na tu sifu vitendo vizuri wakati viongozi wana jitahidi kutenda. Kila kheri.

    ReplyDelete
  3. Rais Kikwete resign hutakiwi na Marekani.Leo siku gani Marekani? Picha ina kukumbusha nini? Waziri Mkuu yuko pamoja na mwanabiashara gani? Ana husiano gani kibiashara Marekani?Mapinduzi nidyo haya watalamu wa Rais wakati umeshafika huwezi kuwa na kiongozi yoyote,ana vujiwa heshima time again and again halfu isi na effect yoyote kwa wananchi.Picha gani ili kuwa muhimu kwenye gazeti ya habarileo? Wanawake wakislamu wasio na heshima kwa Rais.Mke pamoja na nani?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...