Waziri Mkuu,Mh. Mizengo Pinda akiwa katika mazungumzo majirani zake,Mzee Bernard Malyatabu Mayala (88) akiwa na mkewe Bi. Bernadetha Kabandime Msuluba (79) wakati alipowatembelea na kuwajualia hali na kuwatakia heri ya mwaka mpya wa 2013 kijijini kwao Kibaoni Mkoani Katavi.
Waziri Mkuu,Mizengo Pinda anaonekana akiulizia bei ya nyama ya mbuzi wakati akiwa katika kijiji cha Kibaoni,Mkoani Katavi.Picha na Chris Mfinanga.
maisha na kijijini yana raha zake
ReplyDeleteHii ndiyo Likizo halisi...siyo kwenda dubai au south africa!!!
ReplyDeletehahaha huyu jamaa anapenda sana life ya kijijini kwake. hata akipata holiday siku 1 anakwenda kwao maskini. safi sana PM
ReplyDeletemmenikumbusha tu hivyo vidego (viti vya kukalia) ndo sababu wazee wetu hao wana migongo imara sio kama sisi tunaokalia masofas.
ReplyDeleteHUYU JAMAA 2015 IMEKA VIPI AU MPAKA AWE MTOTO WA TOWN WATANZANIA MSIMBANIE JAMAA ANA STAILI KUPEWA URAISI MAANA HANA LONGO LONGO SIO WENGINE MATANGAZO MARA KACHANGIA KANISA MARA KACHANGIA MISIKITI MARA ANAFANYA PATE YA KUFUNGA MWAKA HALAFU MBUGE MMOJA ANA MNADI MICHUZI IWEKE KAMA ILIVYO HII USI BANIE
ReplyDeleteThe simplicity of scene is surely impressive and inviting, PM anaonekana mtu wa kuhenzi kwao. Safi sana
ReplyDeletevigoda (viti vya kukalia) kaka inaonyesha uko Ulaya Miaka Mingi saana Mpaka Kiswahili kinakutoka
ReplyDeleteMdau
25 Jan
Dr. Patrick Nhigula,
ReplyDeleteNinafikiria hivi ni vizuri sana kwenda na kuongea na watu kusikiliza wanaongea nini. Kuishi miaka zaid ya 50 Afrika ni baraka sana.Ninafikiria serikali ya Tanzania waanzishe "Idara ya Wazee" itakayo angalia kutowa posho, matibabu, na huduma bure kwa wazee wa miaka 65 kwenda juu.
bomba sana.ingawa jamaa wanaonekana kumuogopa.Kiongozi ni kwa ajili ya watu sio misafara na ulinzi tight.
ReplyDelete"Videgos" LOL, pengine wala si sababu ya kukaa ulaya muda mrefu. Inawezekana sana kwamba mdau ni "bongo fleva".Kiswahili cha "bongo fleva" kimepinda pinda tu.
ReplyDeleteMtoto wa Mkulima !
ReplyDeleteVery simple!
Hana makuu anafarijika kutembea kwa miguu Kijijini kwao.
Nafikiri hata hilo li VX V8 akishawasili nalo Kijijini kwao linakuwa limeegeshwa hadi siku yake ya kurudi Kazini!
Katika Kambarage Nyerere wachache tuliobakia nao kwa sasa ni huyu PM wetu!
ReplyDeleteNi muhimu tukaendelea kuwa na Maraisi wasiopenda Makuu kama alivyo Mhe. Raisi JK na huyu Mzee mzima Mizengo Pinda!
ReplyDeleteMizengo Pinda kama Kambarage Nyerere!!!
ReplyDeleteSafi sana Pinda ni mfano mzuri hata Cleopa Msuya nae alikuwa akipenda kula ckukuu nyumbani.
ReplyDelete