Huyu mdau, ambaye bila shaka ni mgeni jijini Dar es salaam, anajikuta katika hali ngumu baada ya kuingia mtaa wa Samora akitokea kaskazini kuelekea kusini. Bahati nzuri madereva wenzake walimstahi na kusimama kumpisha ili ageuze na kuingia mtaa wa Zanaki. Bahati nzuri pia kina Ras Makunja hawakuwepo wakati huo la sivyo wangemkunja...
Home
Unlabelled
adha ya kuingia barabara ya njia moja
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Kunatakiws kuwe na alama za barabarani kuonyesha njia moja. Sio swala la dereva kuwa mgeni na njia
ReplyDeleteinawezekana kabisa mdau hana tabia ya kuangalia signs zilizopo barabarani. yeye huwa anaendesha tu, pale aonapo barabara. Ingekuwa huku ughaibuni zaa hizi angetandikwa faini vizuuuri!
ReplyDelete