Meneja Uhusiano wa Airtel bw Jackson Mmbando akiongea wakati wa kutangaza kuanza kwa mashindano na kukabithi vifaa vitakavyotumika katika mashindano yatakayo shirikisha waendasha pikipiki maarufu kama bodaboda yanayoitwa “ mpinga Cup” yenye lengo la kutoa elimu ya usalama barabarani kwa madereva wa bodabora jinini Dar es Saalam . katikati ni Mkuu wa kikosi cha Usalama barabarani SACP Mohamed Mpinga, akifatiwa na mwakilishi wa Meneja Uendeshaji Home Shopping center Yahaya Zuludi na Mwakilishi wa Rotary club Dar es Saalam Vinay Choudary ambao pia ni wadhamini wa michuano hiyo. makabidhiano yamefanyika leo katika ofisi kuu ya trafiki Dar es salaam
Meneja Uhusiano wa Airtel bw Jackson Mmbando akikabithi Mkuu wa kikosi cha Usalama barabarani SACP. Mohamed Mpinga jezi zitakazotumika katika michuano ya mpinga cup itakayoshirikisha waendesha pikipiki maarufu kama Bodaboda yenye lengo la kutoa elimu ya usalama barabarani ili kupunguza idadi ya ajali za barabarani . michuano ya hiyo pia imedhaminiwa na Rotary Dar es Saalm, Home shopping center pamoja na Mr Price na itafanyika kwa muda wa wiki nzima, wakishuhudia katikati ni Meneja uendeshaji Home shopping center Yahaya Zuludi na kulia Mwakilishi wa Mr. Price Sudhirm Maharaj.makabidhiano yamefanyika leo katika ofisi kuu ya trafiki Dar es salaam
Meneja Uhusiano wa Airtel bw Jackson Mmbando akikabithi Mkuu wa kikosi cha Usalama barabarani SACP. Mohamed Mpinga mipira itakazotumika katika michuano ya mpinga cup itakayoshirikisha waendasha pikipiki maarufu kama Bodaboda yenye lengo la kutoa elimu ya usalama barabarani . wadhamini wengine wa Mping cup ni pamoja na Rotary Dar es Saalm, Home shopping center pamoja na Mr Price . wakishuhudia katikati ni Meneja uendeshaji Home shopping center Yahaya Zuludi na kulia Mwakilishi wa Mr. Price Sudhirm Maharaj. makabidhiano yamefanyika leo katika ofisi kuu ya trafiki Dar es salaam
Mwakilishi wa Mr Price Sudhirm Maharaj akikabidhi jezi kwa Mkuu wa kikosi cha Usalama barabarani SACP. Mohamed Mpinga zitakazotumika katika katika michuano ya mpinga cup itakayoshirikisha waendasha pikipiki maarufu kama Bodaboda yenye lengo la kutoa elimu ya usalama barabarani . michuano ya hiyo pia imedhaminiwa na Airtel, Rotary Dar es Saalm, Home shopping center pamoja na Mr Price
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...