Home
Unlabelled
anko hashim lundenga katika mkasi na salama jabir pale pale amaya
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
ReplyDeleteJamaa kaongea kweli kabisaa ameni prove wrong leo hata mimi nilikua among them wa kusema hawezi kazi
ReplyDeleteMe naomba sana sana watanzania mnaoishi Singapore, Malaysia na Australia mwaka huu twende kabisaa Bali, Indonesia tukam support miss tanzania kwenye miss world
ReplyDeleteI cant wait for miss world 2013in indonesia,,,,,
sisi kama watanzania tunaosoma indonesia tunahamu sana sana sana na hili shindano tumejipanga kumpigia kura kwani tayari criteria zinajulikana
lundenga mpinge huyo anaekuja ili aisje akatuangusha itakua aibu kwetu pia aje na bendera kabisaa tuko group of 20 na booking za sentul convection center tayari
Dogo soma wewe wacha kuchanganya mambo.Au wacha shule uangalie moja,nyie ndio ale mnaotumwa kwenda kusoma mkifika huko mnakuwa wakupenda anasa zilizo nje ya uwezo wenu,fanyeni kilichowapeleka huko na mambo ya U-Miss waachieni wengine.
ReplyDeleteSun Feb.10 07:17:00 pm 2013.Waonekana bonge la mshamba, ivi wewe wadhani shule ni kusoma tu muda wote bila ya ku-relax? eti fanyeni yaliyowapeleka mambo ya umiss waachieni wengine akina nani?Mijitu mengine bwana ovyoo kweli, hao ni watanzania, wapo mabli na home wamejitolea kumpa sapoti mtanzania mwenzao ambaye anaiwakilisha nchi kwa staili ya urembo lakini wewe kwa ushamba wako unawakataza wasifanye hivyo, ovyoo.Wanadiaspora wa indonesia msikatishwe tamaa na huyu mfitini hapa, kamateni bendera na mpeni tafu mrembo wetu, huyu bwana ana matatizo yake.
ReplyDelete