Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Zitto,mambo mkuu?Tatizo siyo Spika Anna Makinda,tatizo ni mfumo mzima wa Utawala(System),SYSTEM ilishaona kama hiyo POAC "inahatarisha Usalama wa nchi".Upo hapo kiongozi??

    David V

    ReplyDelete
  2. Zitto acha kupiga porojo na kutaka watu wakuonee huruma kwa kufutwa kwa POAC. Kumbuka kuwa mabadiliko katika uhai wa kila jambo ni muhimu hasa ukizingatia maslahi mapana na endelevu. Shughuli za POAC hazijaondolewa kwani hizo ni sehemu ya kazi za bunge. Lakini muundo wa chombo cha kufanya shughuli hizo unaweza kubadilika na mamlaka hayo yapo kwa Spika kisheria. Spika hafut shughuli za POAC bali amefanya mabadiliko kwa chombo kitakacho fanya kazi za POAC. Kwa mfano kupunguza hizo kamati ni muhimu kuokoa fedha za walipa kodi ambazo baadhi ya ninyi wabunge mnaongea kwa kiini macho kwamba hamtaki posho lakini mnazivuta kupitia rushwa na vitisho kwa watendaji wa mashirika ya umma. Hakuna haja ya kulalamika endapo spika amefanyakazi ya sawasawa na kwa mujibu wa sheria na kanuni za bunge. POAC si mali yako Zitto na wala haiendeshwi kwa pesa zako bali ni pesa zetu. Kazi za POAC zifanywe na kama ti moja ya hesabu za serikali kwani mashirika ya umma ni mali ya serikali kupunguza mlolongo wa matumizi mabaya ya kamati zenu.

    ReplyDelete
  3. hivi naomba munieleweshe, haya mahesabu ya mashirika ya umma ni lazima yatazamwe na POAC???hivi mahesabu si huwa yanafnywa na auditing firms??

    hapa ni uchu wa madaraka na siasa tu humu ndio tatizo la nchi yetu ya Tanzania, wanasiasa wanaongea sana na kuchnaganya wanasiasa.. watu wafanye kazi na kila mtu atimize majukumu yake hakuna kufuatilian fuatiliana.. uhuni uhuni huu mpaka lini??

    Jamani tujitume na tutimize wajibu wetu, Tanzania itasonga mbele.

    ReplyDelete
  4. Very interestin move mama Makinda.
    She should have consulted or informed them before she announced her changes.

    ReplyDelete
  5. Nini POAC tunataka Mahesabu yawe ya wazi zaidi na yasiyo na Uratibu wa kina ZK kwa kufanywa kwa kuzingatia mielekeo ya vyombo kama hivi hapa chini:

    1.OBS-Open Budget Suryev
    2.IBP-International Budgetary Partnership

    Ubaya wa hiyo POAC ilikuwa ni uwezekano wa wanasiasa kama yeye Mlalamikaji kuitumia Ki-Siasa ili kufikia malengo yake na Chama chake!

    Mfano ile Bajeti yao Kivuli ya kukokotoa (ya Magomashi) mbayo ilipotosha sana Umma na kuficha ukweli.

    Sasa kwa mapungufu hayo hamuoni ni uamuzi wa makini ambao Bunge na Serikali ilichukua kuifuta POAC?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...