Hiki ni Kijiji cha Nyamwage mkoani Mkoani Pwani,ambacho hapo awali barabara yake ilikuwa ikipitika kwa shida sana na kupelekea Magari mengi kukwama hasa ifikikapo kipindi cha Masika.kutokana na kuharibika kwa barabara hiyo,kuanzia kijiji hiki mpaka Somanga,Mkoani Lindi.lakini sasa hivi eneo lote hilo liko vizuri kabisa na ujenzi wake umekamilika kwa tasimia kubwa tu na kubakia kipande cha kama kilometa  takribani ishirini tu kukukamilisha kabisa ujenzi wa barabara hiyo.
Usafiri sasa hivi ni wa uhakika sana ukilinganisha na hapo awali.
Hapa ndipo kinapoanzia kipande ambacho kipo kwenye matengenezo.
Ujenzi ukiendelea katika kiande hicho cha kama kilometa ishirini kilichobakia.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. ankal hii barabara imekuwa wimbo tangu 09 had 13 bado inajengwa na maeneo mengine baada ya nangukuru wamebomoa tena kaz ipo til mtr uprising.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...