Rais Jakaya Mrisho Kikwete na mgeni wake Rais Emilio Mwai Kibaki wa Kenya aliyehitimisha ziara yake ya Kiserikali nchini jana Februari 21, 2013, wakisiliza taarifa ya pamoja iliyokuwa ikisomwa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe Bernard Membe katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam.
Vikundi mbalimbali vya ngoma vikitumbuiza wakati Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimsindikiza mgeni wake Rais Emilio Mwai Kibaki wa Kenya aliyehitimisha ziara yake ya Kiserikali nchini jana Februari 21, 2013, katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimsindikiza mgeni wake Rais Emilio Mwai Kibaki wa Kenya aliyehitimisha ziara yake ya Kiserikali nchini jana Februari 21, 2013, katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na mgeni wake Rais Emilio Mwai Kibaki wa Kenya aliyehitimisha ziara yake ya Kiserikali nchini jana Februari 21, 2013, wakiwa wamesimama kupokea heshima wakati nyimbo za taifa zikipigwa katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam.
Rais Emilio Mwai Kibaki wa Kenya aliyehitimisha ziara yake ya Kiserikali nchini jana Februari 21, 2013, akiagana na Makamu wa Rais Dkt Mohamed Ghalib Bilali aliye pamoja na Waziri Mkuu Mhe Mizengo Pinda pamoja na viongozi wengine katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam. PICHA NA IKULU

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. hili kochi alilo kalia mkulima lime chanika chanika au macho yangu

    ReplyDelete
  2. Hilo pozi la Pinda hapo juu si mchezo. Hivi huyu jamma huwa ana smile kweli?

    ReplyDelete
  3. Mdau wa kwanza ilo kochi alilokalia mtoto wa mkulima ata mimi nilijua ni macho yangu tu.lakini kukutoa wasiwasi icho ndicho kivuli asilia kilichonwa na macho yako Au kwa lugha ya kitaalamu Real Image captured by Eye.Iyo ndio bongo yetu
    Mdau- Madrid

    ReplyDelete
  4. Hahahahaha

    Mdau wa Pili Mhe.Pinda anaonekana ame smile angalia katika picha ya chini yeye yupo katikati ya Mhe.Membe na Mhe.Dr.Bilal!

    ReplyDelete
  5. Heheheheheh

    Wadau wa kwanza na watatu, pana Msemo usemao Kuchakaa kwa kanzu au Kofia ya Kibandiko cha Shehe ndio kuelimika kwake!

    Na ndio maana ktk hafla mara zote 'Vitabu' vina pitishwa kwa kuangalia uchakavu wa Kanzu na Kofia za Wanazuoni.

    Ni kuwa ukiwa na Kanzu au Kofia mpya mpya unaonekana bado ungali mwanafunzi.

    Hiyo ni kuwa kuchakaa kwa makochi kunatokana na kazi kubwa inayo fanyika kwa kuwa idadi ya wageni ktk safari za Kikazi wanaokuja Mjengoni ni nzuri, hivyo ni wazi makochi lazima yatachakaa kidogo.

    Kwa kweli kwa hilo tunatoa Pongezi!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...