Mwenyekiti wa  Jumuiya ya Wawekezaji , (ZATI) Abdulswamad Said Ahmed,akitoa Ripoti ya Bodi ya Wakurugenzi wa Wawekezaji katika sekta ya Utalii,pamoja na jumuiya ya Makampuni ya Watembezaji Watalii Zanzibar (ZATO) kwa Rais wa  Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein, Ikulu Mjini Zanzibar,(kushoto) Mjumbe wa Bodi  Bobby Myenna
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein,akizungumza na  Uongozi wa Bodi ya Wakurugenzi  wa Jumuiya ya Wawekezaji  katika  sekata za Utalii, (ZATI) pamoja na jumuiya ya Makampuni ya Watembezaji Watalii Zanzibar (ZATO) Ikulu Mjini Zanzibar,
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein,akiagana na Mwenyekiti wa  Jumuiya ya Wawekezaji , (ZATI) Abdulswamad  Said Ahmed,baada ya mazungumzo na Bodi ya Wakurugenzi wa Wawekezaji katika sekta ya Utalii,pamoja na jumuiya ya makampuni ya Watembezaji Watalii Zanzibar (ZATO) Ikulu Mjini Zanzibar,Picha na Ramadhan Othman wa Ikulu, Zanzibar.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...