Habari za uhakika kabisa kutoka Vatican, zinaeleza kuwa kiongozi mkuu wa kanisa la katoriki Duniani,Pope Benedict XVI ametangaza kuwa ataachia madaraka ya uongozi wake huo ifikapo tarehe 28-02-2013.

Pope Benedict XVI alichaguliwa kuwa pope mwaka 2005, Kiongozi huyo atatimiza miaka 86 mwezi April mwaka huu,Sababu ya kujiuzuru kiongozi huyo wa katoriki duniani bado haijajulikana..pengine kwa ajili ya umri ! habari zaidi zitafuata baadaye

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Hili; ni katika Utukufu wa Mungu. Kila jambo lina sababu zake hata kama haziwekwi bayana na binadamu kutokana na ulelewa wetu funyu.

    ReplyDelete
  2. Kwenye mtandao sababu ni jinsi ambavyo aliendesha au kusimamia vibaya kashfa za unyanyasaji wa kijinsia.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...