Kocha wa Taifa Stars, Kim Poulsen akifafanua jambo wakati wa mkutano na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo kuhusu pambano lao na timu ya Taifa ya Cameroon utakaopigwa tarehe 6.2.2013. (Picha na Dande Junior wa Habari Mseto Blog)
 Nahodha wa Stars, Juma Kaseja akifafanua jambo wakati wa mkutano na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo.
 Kocha wa timu ya Taifa ya Cameroon, Jean Paul akifafanua jambo. Kushoto ni Meneja wa timu hiyo, Rigobert Song na Nahodha wa timu hiyo, Wome Pierre.
  Meneja wa timu hiyo, Rigobert Song akifafanua jambo wakati wa mkutano na waandishi wa habari leo. Katikati ni kocha Mkuu wa timu hiyo, Jean Paul na Nahodha, Wome Pierre.
 Meneja wa timu ya Cameroon, Rigobert Song (katikati) akiingia katika Ofisi za TFF wakati wa mkutano na waandishi wa habari leo.
  Meneja wa timu hiyo, Rigobert Song akifafanua jambo wakati wa mkutano na waandishi wa habari leo. Katikati ni kocha Mkuu wa timu hiyo, Jean Paul na Nahodha, Wome Pierr

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Blog ya jamii tunaomba updates za mchezo na picha za kutosha 'kama kawa'.Asante kwa kutujali sisi walaji wenu

    David V

    ReplyDelete
  2. Rigobert Song kafanana na Lucky Dube jamani, au mnasemaje. Nikapima macho au?


    Macho Makengeza

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...