Katika kuishukuru jamii ya wakazi wa Njombe kwa kuliwezesha tawi la Benki ya CRDB Njombe kupata mafanikio makubwa kibiashara katika mwaka 2012, benbki hiyo liliandaa zawadi kwa watoto yatima wa kituo cha Tumaini Ilunda kilichopo Njombe pia tawi likaandaa tafrija fupi iliyohusisha wateja wa benki na wadau wengine wa Benki wa mkoani Njombe. Tukio la zawadi kwa watoto yatima wa lilihudhuriwa na mkuu wa wilaya ya Njombe, Mhe Sarah Dumba
 Meneja wa tawi la CRDB Njombe, Alison Andrew akiongea na watoto wa kituo cha Tumaini
 Mkuu wa wilaya ya Njombe Sarah Dumba akiongea na watoto wa kituo cha Tumaini
 Mkuu wa kituo cha Tumaini, Sister Coletha Ponela (kushoto) akifuatana na mkuu wa wilaya ya Njombe, Sarah Dumba pamoja na maofisa wa benki ya CRDB wakielekea ukumbi wa kituo cha Tumaini.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...