Home
Unlabelled
kijiwe cha ughaibuni
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Mbona hamueleweki. Mara mnasema maisha ya Marekani mazuri, hakuna mtu anayekufa njaa. Sasa leo mnasema mtu akija mnamkimbia maana mambo ya maisha yenyewe ya kubabaisha. Sote TZ tunajua kuwa maisha ya ughaibuni ya kubabaisha mpaka mtu apate karatasi. Pia ukipata karatasi huruhusiwi kuweka mgeni ndani ya nyumba kama uko kwenye "benefit" au "welfare". Semeni ukweli watu wa ughaibuni wanategemea kujiripua kisha unasubiri majibu sasa watu wanakimbiana maana waliojiripua wengi kesi zao zimeshindwa, na watu wepya wanamatumaini mazuri kushinda kesi zao maana kuna ujanja ambao wazamani walikuwa hawaujui sasa hawataki kuwaambia wenzao wepya huo ujanja. Ndio sababu kubwa kwanini watu wanakimbiana. wabono ni watu wenye roho mbaya kuna yule mama anayepokea mambi ya viza pale ubalozi wa uingereza mnene anavaa jeans anaroho mbaya kuliko sura yake.
ReplyDeletenyie mmepitwa na wakati... tanzania siku hizi raba na nguo sio ishu.... watu wanavaa vizuri kUliko nyinyi mlioko nje!
ReplyDeletevile vile Heineken beer zipo nyingi tu bongo. tembeleeni tanzania msipitwe na wakati
ReplyDeleteHawa watu wanasema ukweli haswa.
ReplyDeleteHilo TV la century gani?
ReplyDeleteWaliyosema ni kweli though inauma
ReplyDeleteDuuuh kweli tupu!!mmemalimaliza kila kitu ...bongo watu wotee waongo banaa..hata hao wanaojidai mambo yao supa hamna kitu hovyooo tu!!Big up brodas god bless you guys..mme hit kwenyewe.
ReplyDeletesafi sana kijiwe kinafundisha sasa tunajua kwa sababu gani watu tukitaka kuja wanazima simu endeleeni hivyo hivyo mshakua masuper star
ReplyDeleteAnnon wa pili ndio nyie waongo wa bongo.Ni kweli siku bongo kuna raba na ma tshirt lakini yote hayo ni VIDOSHO- MCHINA i mean low quality huwezi linganisha na matshirt hayo hayo ya mamtoni...nimekuja huko nimeyaona ni mitshirt ya tetron teehteeh tofauti kabisa na original ya mnyamwezi.Bongo New york mtakalia kusema hivyo hivyo wakati mnarudi nyuma kimaendeleo....wenzenu enzi zetu UDA ilikua inapita kituoni kwa time sio sasa hovyooo.
ReplyDeletehii program haieleweki!
ReplyDeletekijiwe hoyeeeeee
ReplyDeleteHayo ni ukweli mtupu brothers BIG -UP tuendelee luelimishana sisi wabongo hatupendi kuambiwa ukweli, mmebuni kitu kizuru sana... BIG UP BROTHERS.
ReplyDeleteHongereni sana,kwa muda mrefu nilikuwa najiuliza nani atathubutu kueleza ukweli wa maisha ya ughaibuni?
ReplyDeleteIngawa kwa jinsi mnavyotoa ukweli kuna baadhi wataona kama "Wachawi vile" kwa kuanika mambo hadharani ila ni vema watu wajue ili hata kama una amua kujaribu maisha huko basi walau unajua safari ni ndefu kiasi gani.
Nimewafuatilia tangu mwanzo, ipo siku jamii itaelewa mnachosema.
Big up!
Mdau, Kabul-Afghanistani
wewe unaezungumzia mambo ya UDA huko ughaibuni unaishi kwa shida shida tu sababu kukubaliki kwa rangi yako nyeusi. hata ufanyeje tunajua ughaubuni hamkubaliki mnafosi tu kwa shida zenu. heri nikae tanzania nipate shida na kuheshimika kuliko kung'ang'ania ughaibuni na kunenepeana kwa vyakula genetically modified. sasa wanawauzia nyama ya farasi huko endeleeni kula hizo babekyu za farasi ba bia mnenepe vizuri...ha hiyo baridi ndio usiseme shida tupu!!!
ReplyDelete