Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Ujumbe kutoka Kituo cha Biashara Duniani (ITC),unaoongozwa na Jacky Charbonneau,ambapo ujumbe huo wa watu wanne walifika Ikulu Mjini Zanzibar leo kwa mazungumzo Rais
Ujumbe wa watu wannne kutoka Kituo cha Biashara Duniani (ITC),unaoongozwa na Bw,Jacky Charbonneau,(kulia) wakiwa katika mazungumzo ya pamoja na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,na Uongozi wa Wizara ya Biashara Viwanda na Masoko,walipofika Ikulu mjini Zanzibar leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akipeana mikono na Kiongozi wa Ujumbe kutoka Kituo cha Biashara Duniani (ITC), Bw. Jacky Charbonneau,akiongoza ujumbe wa watu wanne waliofika Ikulu Mjini Zanzibar kwa ajili ya mazungumzo leo.Picha na Ramadhan Othman Ikulu, Zanzibar
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...