Hatimaye filamu mpya ya wrong lane kutoka rastemwi productions imeanza kusambazwa mtandaoni, pata copy yako kupitia https://www.createspace.com/360868
Usifiche uhondo, wahabarishe na wenzio.
kwa mawasiliano piga +1 857 288 8686 au tutumie barua pepe info@rastemwi.com
Pia waweza kutufuatilia hapa www.rastemwi.com ama facebook www.facebook.com/rastemwiproduktions ama youtube www.youtube.com/rastemwi
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...