Mtunzi, mwimbaji na mpiga gita hodari Fred Saganda, aliyejizolea umaarufu mkubwa na wimbo wake wa kichagga (ule wa "Ati Chuwa naye alikuwepo") safari hii kaibuka na ngoma ya kiarabu. Usiku wa kuamkia leo Februari 10, 2013 alikaribishwa jukwaani na The Kilimanjaro Band 'Wana Njenje' pale Salender Bridge club na kufanya vitu vyake na kufurahisha sana kwa ubunifu wake

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Hakuna O kwenye kiarabu "BOMA"!!

    ReplyDelete
  2. Mdau wa kwanza. mwimbaji ameshatanguliza angalizo kuwa asemehewe kama akimtukana mtu maana kiarabu hakifahamu.

    Burudani tosha mbavu sina

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...