Meneja Mkuu wa Kampuni ya Grundfus Afrika, Hamp Adams (kushoto) akikata utepe kuashilia uzinduzi wa kuitangaza kampuni Trans Afrika Water kuwa wasambazaji wakuu wa bidhaa zao za pampu za maji na usimamizi wa maji taka nchini Tanzania.Kulia ni Mkurugenzi wa Trans Africa Water,Tony Mwangi.
Meneja Mkuu wa Kampuni ya Grundfus Afrika,Hamp Adams (kulia) akizungumza na wageni waalikwa (hawapo pichani) wakati hafla ya kutangaza kampuni Trans Afrika Water kuwa wasambazaji wakuu wa bidhaa zao za pampu za maji na usimamizi wa maji taka nchini Tanzania.Kushoto ni Mkurugenzi wa Trans Africa Water,Tony Mwangi.
Meneja Mkuu wa Kampuni ya Grundfus Afrika, Hamp Adams (kulia) na Mkurugenzi wa Trans Africa Water,Tony Mwangi wakiteta jambo mara baada ya kuitangaza Kampuni ya Trans Afrika Water kuwa wasambazaji wakuu wa bidhaa zao za pampu za maji na usimamizi wa maji taka nchini Tanzania .
Mkurugenzi wa Trans Africa Water,Tony Mwangi (kushoto) akimkabidhi zawadi Meneja Mkuu wa Kampuni ya Grundfus Afrika, Hamp Adams wakati hafla ya kutangaza kampuni Trans Afrika Water kuwa wasambazaji wakuu wa bidhaa zao za pampu za maji na usimamizi wa maji taka nchini Tanzania.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...