Kama ilivyo ada naomba
tuanze kwa kumshukuru Mwenyezi Mungu, Mwenye Rehema, kwa kutujaalia uzima na
kutuwezesha kuzungumza kwa mara
nyingine kwa kutumia utaratibu wetu huu mzuri wa mawasiliano baina ya Rais na
wananchi wa Tanzania kila mwisho wa mwezi.
Siku ya leo nitazungumzia safari yangu ya Ufaransa, Uswizi na
Ethiopia. Pia nitazungumzia ujenzi wa bomba
la kusafirisha gesi asili kutoka Mtwara kuja Dar es Salaam.
Salute!!Hotuba nzuri na inayoeleweka at least amewaelimisha vizuri...kula tano mheshimiwa Rais.
ReplyDeletemdau wa UK
....Mi ningependa kumpa pongezi Mr.KIKWETE kwa hotuba yake,lakini namshauri kama raia mwema,kuwa maneno aliyoongea ndio waliyoyabeba wananchi wa MTWARA vichwani mwao,hivyo kama hayatakuwa na UKWELI baadae atakuwa amejenga JESHI ambalo litakuwa na nguvu sana kutoka MTAANI,hivyo naomba ili aendelee kuona AMANI Kusini inapatikana anapaswa hatua za MAENDELEO MTWARA awashirikishe wananchi kama alivyoahidi ili wananchi waone ukamilifu wa uzito wa MANENO aliyonena leo maana SURA na VICHWA vya Wana-Mtwara vimekuwa na vitu ambacho wengi bado hawajavitambua......
ReplyDeleteMungu Bariki AMANI na UTULIVU wetu
Mungu Ibariki TANZANIA.
AHSANTE
Asante sana Mhe. Rais... Nikiwa kama mwananchi wa Mtwara, nimefurahishwa sana na hotuba hii, nasubiria kwa hamu utekelezwaji wa yale yaliyosemwa...
ReplyDeleteHakika mashaka yangu mengi juu ya uongozi wako yamefutika baada ya kuisoma hotuba hii...
Long Live JK, Long Live Mtwara, Long Live Tanzania!!!
Asante Rais wangu, i would vote for you million times more....!!!