Kama ilivyo ada naomba tuanze kwa kumshukuru Mwenyezi Mungu, Mwenye Rehema, kwa kutujaalia uzima na kutuwezesha kuzungumza kwa mara nyingine kwa kutumia utaratibu wetu huu mzuri wa mawasiliano baina ya Rais na wananchi wa Tanzania kila mwisho wa mwezi.  

Siku ya leo nitazungumzia safari yangu ya Ufaransa, Uswizi na Ethiopia.  Pia nitazungumzia ujenzi wa bomba la kusafirisha gesi asili kutoka Mtwara kuja Dar es Salaam. 


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Salute!!Hotuba nzuri na inayoeleweka at least amewaelimisha vizuri...kula tano mheshimiwa Rais.
    mdau wa UK

    ReplyDelete
  2. ....Mi ningependa kumpa pongezi Mr.KIKWETE kwa hotuba yake,lakini namshauri kama raia mwema,kuwa maneno aliyoongea ndio waliyoyabeba wananchi wa MTWARA vichwani mwao,hivyo kama hayatakuwa na UKWELI baadae atakuwa amejenga JESHI ambalo litakuwa na nguvu sana kutoka MTAANI,hivyo naomba ili aendelee kuona AMANI Kusini inapatikana anapaswa hatua za MAENDELEO MTWARA awashirikishe wananchi kama alivyoahidi ili wananchi waone ukamilifu wa uzito wa MANENO aliyonena leo maana SURA na VICHWA vya Wana-Mtwara vimekuwa na vitu ambacho wengi bado hawajavitambua......
    Mungu Bariki AMANI na UTULIVU wetu
    Mungu Ibariki TANZANIA.
    AHSANTE

    ReplyDelete
  3. ProudlyTanzanianFebruary 02, 2013

    Asante sana Mhe. Rais... Nikiwa kama mwananchi wa Mtwara, nimefurahishwa sana na hotuba hii, nasubiria kwa hamu utekelezwaji wa yale yaliyosemwa...
    Hakika mashaka yangu mengi juu ya uongozi wako yamefutika baada ya kuisoma hotuba hii...
    Long Live JK, Long Live Mtwara, Long Live Tanzania!!!
    Asante Rais wangu, i would vote for you million times more....!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...